Waefeso 4:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 akili zao zimetiwa giza, wamekaa mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo niwao, kwa sababu mioyo yao imekufa ganzi: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 na akili zao zimo gizani. Wako mbali na uhai wa Mungu kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao. Tazama sura |