Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 3:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Katika yeye tuna ajasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya imani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ndani yake na kupitia kwa imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.

Tazama sura Nakili




Waefeso 3:12
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Ndimi niliye njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba bila kwa mimi.


ni haki ya Mungu, ipatwayo kwa kuwa na imani kwa Yesu Kristo, huja kwa watu wote, huwakalia watu wote waaminio.


kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo tunasimama ndani yake; na twafurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu.


Na tumaini hiio tunalo mbele za Mungu kwa Kristo;


Maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Mungu Baba katika Roho mmoja.


Bassi msiutupe njasiri wenu, kwa maana una thawabu kuu.


bali Kristo, kama mwana, juu ya nyumba yake; ambae nyumba yake ni sisi, kama tukishikamana sana na ujasiri wetu na kujisifu kwetu, kwa kutumaini mpaka mwisho.


Kwa maana Kristo nae aliteswa marra moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio baki, illi atulete kwa Mungu; mwili wake akifishwa, bali roho yake akihuishwa.


Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, illi, atakapofunuliwa, tuwe na ujasiri, wala tusiaibishwe mbele zake katika kuja kwake.


Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo