Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 3:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 kwa kadiri ya kusudi la milele alilolikusudia katika Kristo Yesu Bwana wetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 sawasawa na kusudi lake la milele alilolitimiza katika Al-Masihi Isa Bwana wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 sawasawa na kusudi lake la milele katika Al-Masihi Isa Bwana wetu.

Tazama sura Nakili




Waefeso 3:11
12 Marejeleo ya Msalaba  

kwa maana kabla hawajazaliwa wale watoto, wala hawajatenda neno jema wala baya, illi lisimame kusudi la Mungu la kuchagua,


Nao walio watu wa Kristo Yesu wameusulibisha niwili pamoja na mawazo mabaya na tamaa mbaya.


ambae ndani yake sisi tumepata urithi, tukichaguliwa tangu awali kwa kusudi lake yeye afanyae yote kwa shauri la nia yake;


kama alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, tuwe watakatifu, wasio khatiya mbele zake, katika pendo.


akiisha kutujulisha siri ya nia yake, kwa kadiri ya mapenzi yake, aliyoyakusudia katika yeye huyu,


KWA sababu biyo mimi Paolo, mfungwa wake Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi Mataifa,—


aliyetuokoa akatuita kwa wito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu, bali kwa kadiri ya makusudi yake mwenyewe na neema yake, tuliyopewa sisi katika Kristo Yesu, kabla ya nyakati za zamani;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo