Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 2:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 katika yeye na ninyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kupitia kwa Roho wake Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mwenyezi Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake Mtakatifu.

Tazama sura Nakili




Waefeso 2:22
12 Marejeleo ya Msalaba  

Hamjui ya kuwa ninyi hekalu ya Mungu, na ya kuwa Roho Mtakatifu anakaa ndani yenu?


Maana ninyi mwafanya kazi pamoja na Mungu: ninyi m shamba la Mungu, m jengo la Mungu.


Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu ya Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyopewa na Mungu? Na ninyi si mali yenu wenyewe;


Kwa maana ninyi hekalu la Mungu aliye hayi; kama Mungu alivyosema, ya kama, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.


Kristo akae mioyoni mwemi kwa imani; illi ninyi, mkiwa na mizizi na misingi katika upendo,


Nae azishikae amri zake hukaa ndani yake, nae ndani yake. Na hivi tunajua ya kuwa anakaa ndani yetu, kwa Roho aliyotupa.


Hivi tunafahamu ya kuwa tunakaa ndaui yake, nae ndani yetu, kwa kuwa ametushirikisha Roho yake.


Na sisi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu ndani yetu na kuliamini. Mungu ni pendo, nae akaae katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo