Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 2:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 katika yeye jengo lote likiungamanishwa vema linakua hatta liwe hekalu takatifu katika Bwana;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kuinuliwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana Mwenyezi.

Tazama sura Nakili




Waefeso 2:21
12 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ninyi mwafanya kazi pamoja na Mungu: ninyi m shamba la Mungu, m jengo la Mungu.


Kwa maana ninyi hekalu la Mungu aliye hayi; kama Mungu alivyosema, ya kama, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.


wala hakishiki kiehwa, ambacho kwa yeye mwili wote ukiruzukiwa na kuungamanishwa kwa viungo na mishipa, hukua mkuo utokao kwa Mungu.


Lakini nikikawia, upate kujua sana jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu iliyo kanisa la Mungu aliye hayi, nguzo na msingi wa kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo