Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 2:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 akaja, akakhubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali, na kwao waliokuwa karibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, Kristo alikuja akahubiri Habari Njema ya amani kwenu nyinyi watu wa mataifa mengine mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa karibu na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, Kristo alikuja akahubiri Habari Njema ya amani kwenu nyinyi watu wa mataifa mengine mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa karibu na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, Kristo alikuja akahubiri Habari Njema ya amani kwenu nyinyi watu wa mataifa mengine mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa karibu na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Alikuja na kuhubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali, na pia akahubiri amani kwao waliokuwa karibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Alikuja na kuhubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali na pia akahubiri amani kwao waliokuwa karibu.

Tazama sura Nakili




Waefeso 2:17
22 Marejeleo ya Msalaba  

Na nyumba ile ikistahili, amani yenu iifikilie: la, haistahili, amani yenu iwarudieni.


Ama mwanamke gani aliye na rupia kumi, akipotewa na rupia mmoja, asiyewasha taa, na kuifagia nyumba, akitatuta kwa bidii, hatta atakapoiona?


Utukufu una Mungu palipo juu, Na katika inchi amani, kwa watu aliowaridhia.


Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli, akikhubiri amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),


Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na watoto wenu, na watu wote walio mbali, na wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu.


Bassi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mkhubiri?


BASSI tukiisha kuhesabiwa wema utokao katika imani, tuwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo;


Bassi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anakusihini kwa vinywa vyetu: twawaombeni kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu.


mkiwa mwalimsikia mkafundishwa katika yeye, kama ilivyo kweli katika Yesu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo