Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwaua Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi.

Tazama sura Nakili




Waefeso 1:2
5 Marejeleo ya Msalaba  

kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu: Neema iwe kwenu na imani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwaua Yesu Kristo.


Neema iwe kwenu na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.


Neema iwe kweuu, na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana Yesu Kristo,


Atukuzwe Mungu, Baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani ya Kristo;


kwa Tito, mwanangu katika imani tuishirikiyo: Neema na rehema na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo, Mwokozi wetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo