Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 1:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 illi sisi tuwe sifa ya utukufu wake, tuliotangulia kumwekea Kristo tumaini letu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 ili, sisi tuliokuwa wa kwanza kuweka tumaini katika Al-Masihi, tupate kuishi kwa sifa ya utukufu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 ili kwamba, sisi tuliokuwa wa kwanza kuweka tumaini katika Al-Masihi, tupate kuishi kwa sifa ya utukufu wake.

Tazama sura Nakili




Waefeso 1:12
21 Marejeleo ya Msalaba  

MSIFADHAIKE mioyo yenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.


illi usifiwe utukufu wa neema yake, aliyotukarimu katika mpendwa wake:


illi katika zamani zinazokuja audhihirishe wingi wa neema yake upitao kiasi kwa wema wake kwetu katika Kristo Yesu.


kwake yeye utukufu katika Kanisa, na katika Kristo Yesu hatta vizazi vyote vya milele na milele. Amin.


Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokofu, katika kutakaswa kwa Roho na kuiamini kweli,


Kwa sababu hiyo nimepata mateso haya, wala sitahayariki: maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki kwamba aweza kukilinda kile nilichakiweka amana kwake hatta siku ile.


Alipopenda alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limhuko la viumbe vyake.


ambae kwa yeye mlimwamini Mungu, aliyemfufua akampa utukufu; hatta imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo