Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Lakini katika khema ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, marra moja killa mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na dhambi za ujinga za watu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini kuhani mkuu peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka, na huwa amechukua damu ambayo anamtolea Mungu kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya makosa ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini kuhani mkuu peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka, na huwa amechukua damu ambayo anamtolea Mungu kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya makosa ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini kuhani mkuu peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka, na huwa amechukua damu ambayo anamtolea Mungu kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya makosa ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Lakini ni kuhani mkuu peke yake aliyeingia ndani ya sehemu ya pili ya hema. Tena hii ilikuwa mara moja tu kwa mwaka, na hakuingia kamwe bila damu, ambayo alitoa kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za watu walizotenda bila kukusudia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

Waebrania 9:7
23 Marejeleo ya Msalaba  

akili zao zimetiwa giza, wamekaa mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo niwao, kwa sababu mioyo yao imekufa ganzi:

Lakini katika hizo liko kumbukumbu la dhambi killa mwaka.

tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo mle mlimo ndani ya pazia,

asiye na baja killa siku, kwa mfano wa wale makuhani wakuu wengine, kwanza kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe, kiisha kwa ajili ya dhambi za watu; maana yeye alifanya hivi marra moja, alipojitoa nafsi yake.

Na nyuma ya pazia la pili, ile khema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo