Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 9:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Bassi, vitu hivi vikiislia kutengenezwa hivyo, makuhani huingia khema ya kwanza siku zote, wakiyatimiza mambo va ibada.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mipango hiyo ilitekelezwa, kisha ikawa desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje kutoa huduma zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mipango hiyo ilitekelezwa, kisha ikawa desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje kutoa huduma zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mipango hiyo ilitekelezwa, kisha ikawa desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje kutoa huduma zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Basi vitu hivi vilipokuwa vimepangwa, makuhani waliingia mara kwa mara katika sehemu ya kwanza ya hema ili kufanya taratibu zao za ibada.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Basi vitu hivi vilipokuwa vimepangwa, makuhani waliingia mara kwa mara katika sehemu ya kwanza ya hema ili kufanya taratibu zao za ibada.

Tazama sura Nakili

Waebrania 9:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

ambao ni Waisraeli, wenye kufanywa wana, wenye utukufu na maagano, wenye kupewa torati na ibada ya Mungu na ahadi zake; ambao mababu ni wao,

Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo