Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 9:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Na nyuma ya pazia la pili, ile khema iitwayo Patakatifu pa patakatifu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa Mahali Patakatifu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,

Tazama sura Nakili

Waebrania 9:3
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka;

tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo mle mlimo ndani ya pazia,

Lakini katika khema ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, marra moja killa mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na dhambi za ujinga za watu.

Roho Mtakatifu akionyesha neno hili, ya kwamba njia ya kupaingia patakatifu ilikuwa haijadhihirishwa bado, hapo khema ya kwanza ilipokuwa ingali ikisimama.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo