Waebrania 9:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Na ile khema na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivi hivi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada. Tazama sura |