Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 9:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Maana khema ilitengenezwa, ile ya kwanza, mlimokuwa na taa, na meza, na mikate iliyotolewa kwa Mungu; palipoitwa, Patakatifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu. Humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu. Humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu. Humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa mbele ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hema ilitengenezwa. Katika sehemu yake ya kwanza kulikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa wakfu; hii sehemu iliitwa Mahali Patakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Hema ilitengenezwa. Katika sehemu yake ya kwanza kulikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa wakfu; hii sehemu iliitwa Mahali Patakatifu.

Tazama sura Nakili

Waebrania 9:2
21 Marejeleo ya Msalaba  

jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa nae wala na wenzi wake, illa na makuhani peke yao?

Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya kibaba, bali juu ya kibao cha kuwekea taa; nayo yaangaza wote waliomo nyumbani.

wala si kusudi ajitoe marra nyiugi, kama vile kuhani mkuu aingiavyo patakatifu killa mwaka kwa damu isiyo yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo