Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 9:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Kwa maana agano lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, maadam yu hayi yeye aliyelifanya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu ameshakufa; kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika bado yuko hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu ameshakufa; kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika bado yuko hai.

Tazama sura Nakili

Waebrania 9:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Amani nawaachieni; amani yangu nawatolea; si kama ulimwengu utoavyo, mimi nawatolea. Msifadhaike moyo wenu, wala msiwe na woga.

Ndugu, nanena kwa jiusi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwana Adamu, illakini likiisha kuthuimtika, hapana mtu alibatilishae, wala kuliongeza neno.

Maana agano la urithi lilipo, lazima iwepo mauti yake aliyelifanya.

Kwa hiyo hatta lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo