Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 8:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, mimi nami sikuwaangalia, asema Bwana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku nilipowaongoza kwa mkono kutoka Misri. Hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku nilipowaongoza kwa mkono kutoka Misri. Hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku nilipowaongoza kwa mkono kutoka Misri. Hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Agano langu halitakuwa kama lile nililofanya na baba zao nilipowashika mkono kuwaongoza watoke nchi ya Misri, kwa sababu hawakuendelea kuwa waaminifu katika agano langu, nami nikawaacha, asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Agano langu halitakuwa kama lile nililofanya na baba zao nilipowashika mkono kuwaongoza watoke nchi ya Misri, kwa sababu hawakuendelea kuwa waaminifu katika agano langu, nami nikawaacha, asema Bwana Mwenyezi.

Tazama sura Nakili

Waebrania 8:9
44 Marejeleo ya Msalaba  

Akamshika mkono vule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akaweka mikono yake juu yake, akamwuliza, Waona kitu?

Bassi, angalia, mkono wa Bwana ni juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda kitambo. Marra kiwi kikamwangukia na giza, akazungukazunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.

Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika inchi ya Misri, na katika bahari ya Sham, na katika jangwa muda wa miaka arubaini.

Saul akaondoka katika inchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu: wakamshika mkono wakamleta hatta Dameski.

Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio maagano mawili, moja toka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ndio Hajir.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo