Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 8:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.

Tazama sura Nakili

Waebrania 8:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, torati haipatani na ahadi za Mungu? Hasha. Kwa kuwa, kama ingalitolewa sharia iwezayo kuhuisha, yakini haki ingalipatikana kwa sharia.

Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?

Maana, kima kubatiliwa kwa ile amri iliyotangulia, kwa sababu ya udhaifu wake, na kutokufaa kwake

Lakini sasa amepata khuduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mtengenezaji wa agano lililo bora, lililoamriwa kwa ahadi zilizo bora na kuzitegemea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo