Waebrania 8:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikukuu na kuchakaa ni karibu na kutoweka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa kuliita agano hili “jipya”, Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa kuliita agano hili “jipya,” Mwenyezi Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka. Tazama sura |