Waebrania 8:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Kwa sababu nitawasamehe dhumlumu zao, na dhambi zao sitazikumbuka tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nitawasamehe makosa yao, wala sitakumbuka tena dhambi zao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nitawasamehe makosa yao, wala sitakumbuka tena dhambi zao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nitawasamehe makosa yao, wala sitakumbuka tena dhambi zao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa sababu nitasamehe uovu wao, wala sitazikumbuka dhambi zao tena!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa sababu nitasamehe uovu wao, wala sitazikumbuka dhambi zao tena!” Tazama sura |