Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 7:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Na yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hatta Lawi apokeae sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Twaweza, basi, kusema kwamba Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye wazawa wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Ibrahimu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Ibrahimu,

Tazama sura Nakili

Waebrania 7:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

kwa maaua killa aombae hupokea; nae atafutae huona, nae abishae alafunguliwa.

Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote;

kwa maana alikuwa katika viuno vya bada yake Ibrahimu, hapo Melkizedeki alipokutana nae.

Bassi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambae Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya maleka yaliyo mema.

Na hapo wana Adamu wapaswao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huku yeye ashubudiwae kwamba yu hayi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo