Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Na hapo wana Adamu wapaswao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huku yeye ashubudiwae kwamba yu hayi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Tena, hao makuhani wanaopokea sehemu ya kumi, ni watu ambao hufa; lakini hapa anayepokea sehemu ya kumi, yaani Melkisedeki, anasemekana kwamba hafi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Tena, hao makuhani wanaopokea sehemu ya kumi, ni watu ambao hufa; lakini hapa anayepokea sehemu ya kumi, yaani Melkisedeki, anasemekana kwamba hafi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Tena, hao makuhani wanaopokea sehemu ya kumi, ni watu ambao hufa; lakini hapa anayepokea sehemu ya kumi, yaani Melkisedeki, anasemekana kwamba hafi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa upande mmoja, sehemu ya kumi hupokelewa na watu ambao hufa; lakini kwa upande mwingine hupokelewa na yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa upande mmoja, sehemu ya kumi hupokelewa na wale ambao hupatikana na kufa; lakini kwa upande mwingine hupokelewa na yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai.

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:8
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bado kidogo na ulimwengu haunioni tena; bali ninyi mnaniona; kwa sababu mimi ni hayi, ninyi nanyi mtakuwa hayi.


Yesu akamwambia, Ndimi niliye njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba bila kwa mimi.


Maana ni nani waliomkasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka katika Misri wakiongozwa na Musa?


kama asemavyo mahali pengine, Wewe u Kuhani milele Kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.


alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa Kuhani mkuu kwa jinsi ya Melkizedeki hatta milele.


Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na manti wasikae;


Na haikanushiki kwamba mdogo hubarikiwa na mkubwa.


Na yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hatta Lawi apokeae sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;


Na jinsi watu wanavyowekewa kufa marra moja, na baada ya kufa hukumu:


na aliye hayi; nami nalikuwa nimekufa, na tazama ni hayi hatta milele na milele. Amin. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo