Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 7:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Na katika wana wa Lawi, wale waupatao ukuhani, wana amri kutwaa sehemu ya kumi kwa watu wao, yaani ndugu zao, kwa agizo la sharia, ijapokuwa wametoka katika viuno vya Ibrahimu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Tunajua pia kwamba kufuatana na sheria, wazawa wa Lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua sehemu moja ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao ni wazawa wa Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Tunajua pia kwamba kufuatana na sheria, wazawa wa Lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua sehemu moja ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao ni wazawa wa Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Tunajua pia kwamba kufuatana na sheria, wazawa wa Lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua sehemu moja ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao ni wazawa wa Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Basi sheria inawaagiza wana wa Lawi ambao hufanyika makuhani kupokea sehemu ya kumi kutoka kwa watu ambao ni ndugu zao, ingawa ndugu zao ni wazao wa Ibrahimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Basi sheria inawaagiza wana wa Lawi ambao hufanyika makuhani kupokea sehemu ya kumi kutoka kwa watu ambao ni ndugu zao, ingawa ndugu zao ni wazao wa Ibrahimu.

Tazama sura Nakili

Waebrania 7:5
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na hapana mtu ajitwaliae heshima hii, illa yeye aitwae na Mungu kama vile Harimi.

kwa maana alikuwa katika viuno vya bada yake Ibrahimu, hapo Melkizedeki alipokutana nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo