Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 7:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Bassi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambae Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya maleka yaliyo mema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu wa zamani, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.

Tazama sura Nakili

Waebrania 7:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndugu, mniwie radhi, niseme pasipo khofu mbele yenu khabari za baba yetu mkuu Daud, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hatta leo.

Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu ikahesabiwa kwake kuwa ni haki: nae aliitwa raliki wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo