Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 hali yeye, kwa kuwa akaa milele, ana ukuhani usioondoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:24
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi makutano wakamjibu, Sisi tumesikia katika torati ya kwamba Kristo adumu hatta milele: nawe wanenaje ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kuinuliwa? Huyu Mwana wa Adamu ni nani?


tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka hafi tena, mauti haimtawali tena.


na katika bao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili, aliye juu ya mambo yote, Mungu, anaehimidiwa milele. Amin.


Yesu Kristo, jana na leo yeye yule na hatta milele.


Maana torati yawaweka wana Adamu walio na unyonge kuwa makuhani wakuu; bali neno la kiapo kilichokuja baada ya torati limemweka Mwana, aliyekamilika hatta milele.


na aliye hayi; nami nalikuwa nimekufa, na tazama ni hayi hatta milele na milele. Amin. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo