Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na manti wasikae;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Tena: Hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Tena: Hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Tena: hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Basi kumekuwa na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yohana alikuwa akimzuia, akinena, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, na wewe waja kwangu?


(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; hali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe kuhani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki;)


bassi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo hora zaidi.


hali yeye, kwa kuwa akaa milele, ana ukuhani usioondoka.


Na hapo wana Adamu wapaswao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huku yeye ashubudiwae kwamba yu hayi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo