Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 (maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; hali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe kuhani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki;)

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 lakini Isa alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alimwambia: “Mwenyezi Mungu ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 lakini Isa alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mwenyezi Mungu alimwambia: “bwana Mwenyezi ameapa naye hatabadilisha mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’ ”

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu karama za Mungu na wito wake hazina majuto.


kama asemavyo mahali pengine, Wewe u Kuhani milele Kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.


maana ashuhudu, kwamba, Wewe u kuliani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki.


Na kwa kuwa haikuwa pasipo kiapo,


Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na manti wasikae;


Maana torati yawaweka wana Adamu walio na unyonge kuwa makuhani wakuu; bali neno la kiapo kilichokuja baada ya torati limemweka Mwana, aliyekamilika hatta milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo