Waebrania 7:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 maana ashuhudu, kwamba, Wewe u kuliani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.” Tazama sura |