Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 7:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Maana yeye aliyenenwa hayo alikuwa mshirika wa kahila nyingine, wala hapana mtu wa kahila hii aliyeikhudumia madhbahu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Naye Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa wa kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake aliyepata kutumikia madhabahuni akiwa kuhani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Naye Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa wa kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake aliyepata kutumikia madhabahuni akiwa kuhani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Naye Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa wa kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake aliyepata kutumikia madhabahuni akiwa kuhani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Yeye ambaye mambo haya yanasemwa alikuwa wa kabila lingine, na hakuna mtu wa kabila hilo aliyewahi kuhudumu katika madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Yeye ambaye mambo haya yanasemwa alikuwa wa kabila lingine, na hakuna mtu wa kabila hilo aliyewahi kuhudumu katika madhabahu.

Tazama sura Nakili

Waebrania 7:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?

Maana ukuhani ule ukihadilika, hapana buddi sharia nayo ibadilike.

Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambayo Musa hakunena neno lolote la kuikhusu katika mambo ya ukuhani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo