Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 7:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Maana ukuhani ule ukihadilika, hapana buddi sharia nayo ibadilike.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa kuwa ukuhani ukibadilika, lazima sheria nayo ibadilike.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.

Tazama sura Nakili




Waebrania 7:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?


Maana yeye aliyenenwa hayo alikuwa mshirika wa kahila nyingine, wala hapana mtu wa kahila hii aliyeikhudumia madhbahu.


kwa kuwa ni sharia za jinsi ya mwili tu, vyakula na vinywaji na kutawadha kwingine kwingine, zilizoamriwa hatta wakati wa matengenezo mapya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo