Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 kwa maana alikuwa katika viuno vya bada yake Ibrahimu, hapo Melkizedeki alipokutana nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Ibrahimu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Ibrahimu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani.

Tazama sura Nakili

Waebrania 7:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

kama asemavyo mahali pengine, Wewe u Kuhani milele Kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.

Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?

Na katika wana wa Lawi, wale waupatao ukuhani, wana amri kutwaa sehemu ya kumi kwa watu wao, yaani ndugu zao, kwa agizo la sharia, ijapokuwa wametoka katika viuno vya Ibrahimu.

Na yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hatta Lawi apokeae sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo