Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 6:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 bali ikitoa miiba ua magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; mwisho wake ni kuteketea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.

Tazama sura Nakili




Waebrania 6:8
26 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha atawaambia na wale walio mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, kwenda katika moto wa milele, aliowekewa tayari Shetani na malaika zake:


Nalo shoka limekwisha kuwekwa penye shina la miti; bassi killa mti usiozaa matunda mazuri unakatwa na kutupwa motoni.


Killa mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.


maana haukuwa wakati wa tini. Yesu akajibu, akauambia, Tangu leo hatta milele mtu asile matunda kwako. Wanafunzi wake wakasikia.


Petro akakumbuka khabari yake, akamwabia, Rabbi, tazama, mtini ulioulaani umekauka.


Mtu asipokaa ndani yangu, atupwa nje kama tawi, akauka; huyakusanya, huyatupa motoni, yakateketea.


bali kuitazamia hukumu kwenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wapingao.


Maana mwajua ya kuwa hatta alipotaka baadae kuirithi baraka, alikataliwa (maana hakuona nafasi ya kutubu), ijapokuwa aliitafuta sana kwa machozi.


Na ikiwa mtu hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo