Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Maana inchi iinywayo mvua iijiayo marra kwa marra, na kuzaa maboga yejiye manufaa kwa hao ambao kwa ajili yao yalimwa, hupokea baraka kwa Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima imebarikiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima imebarikiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima imebarikiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ardhi inayopokea mvua inayonyesha mara kwa mara juu yake na baadaye inatoa mazao ya kuwanufaisha wale ambao inalimwa kwa ajili yao, hupokea baraka za Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ardhi ile ipokeayo mvua inyeshayo juu yake mara kwa mara hutoa mazao yanayowanufaisha wale ambao kwa ajili yao yalimwa, nayo nchi hiyo hupokea baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Waebrania 6:7
17 Marejeleo ya Msalaba  

kwa maaua killa aombae hupokea; nae atafutae huona, nae abishae alafunguliwa.


Yampasa mkulima mwenye taabu ya kazi kuwa wa kwanza wa kuyashiriki matunda.


Bassi vumilieni, ndugu, hatta kuja kwake Bwana. Mwangalieni mkulima; hungoja mazao ya inchi yaliyo ya thamani, husubiri kwa ajili yake hatta yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo