Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 6:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Na tutafanya hayo kama Mungu akitujalia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Hilo tutafanya, Mungu akipenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Hilo tutafanya, Mungu akipenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Hilo tutafanya, Mungu akipenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mungu akitujalia tutafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mwenyezi Mungu akitujalia tutafanya hivyo.

Tazama sura Nakili




Waebrania 6:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

bali aliagana nao, akisema. Sina buddi kufanya siku kuu hii inayokuja Yerusalemi: lakini nitarejea kwenu, Mungu akinijalia.


nipate kufika kwenu kwa furaha, kama Mungu akipenda, nikapate kupumzika pamoja nanyi.


Maana sitaki kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu nataraja kukaa kwenu mda wa kitambo, Bwana akinijalia.


Lakini nitakuja kwemi upesi, Bwana akipenda, nami nitajua, si neno lao waliojivuna, bali nguvu zao.


Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,


Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hayi na kufanya hivi au hivi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo