Waebrania 6:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Maana wana Adamu humwapia yeye aliye mkuu: na ukomo wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kiyathubutishe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu kuliko wao, na kiapo husuluhisha ubishi wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu kuliko wao, na kiapo husuluhisha ubishi wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu kuliko wao, na kiapo husuluhisha ubishi wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao, nacho kiapo hicho huthibitisha kile kilichosemwa na hivyo humaliza mabishano yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuwaliko, nacho kiapo hicho huthibitisha kile kilichosemwa na hivyo humaliza mabishano yote. Tazama sura |