Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 6:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 akisema, iiakika yangu nitakubariki, na hakika yangu nitakuongeza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mungu alisema: “Hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mungu alisema: “Hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mungu alisema: “Hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”

Tazama sura Nakili

Waebrania 6:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana urithi nkiwa kwa sharia, hauwi tena kwa abadi; lakini Mungu alimkarimia Ibrahimu kwa abadi.

watu wasiolipa baya badala ya baya, au laumu badala ya laumu; bali wabarikio; kwa sababu ndiyo mlioitiwa illi mrithi baraka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo