Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 6:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa kuwa alikuwa hana mkuhwa kuliko nafsi yake wa kumwapia, aliapa kwa nafsi yake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mungu alipompa Ibrahimu ahadi yake, kwa sababu hapakuwa mwingine mkuu kuliko yeye ambaye angeapa naye, aliapa kwa nafsi yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Mwenyezi Mungu alipompa Ibrahimu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,

Tazama sura Nakili

Waebrania 6:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Uapo aliomwapia Ibrahimu baba yetu,

Ndugu, nanena kwa jiusi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwana Adamu, illakini likiisha kuthuimtika, hapana mtu alibatilishae, wala kuliongeza neno.

Kwa maana urithi nkiwa kwa sharia, hauwi tena kwa abadi; lakini Mungu alimkarimia Ibrahimu kwa abadi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo