Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 5:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 kama asemavyo mahali pengine, Wewe u Kuhani milele Kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”

Tazama sura Nakili




Waebrania 5:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

ametajwa na Mungu kuwa Kuhani mkuu kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.


alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa Kuhani mkuu kwa jinsi ya Melkizedeki hatta milele.


Bassi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi: (maana watu wale waliipata sharia kwa huo) kulikuwa na haja gani tena kuhani mwingine aondoke, wa daraja la Melkizedeki, wala si kwa daraja la Haruni?


Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kwa mfano wa Melkizedeki;


maana ashuhudu, kwamba, Wewe u kuliani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki.


(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; hali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe kuhani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki;)


hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho wa uhayi wake, bali amefanauishwa na Mwaua wa Mungu,) adumu kuhani milele.


Na hapo wana Adamu wapaswao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huku yeye ashubudiwae kwamba yu hayi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo