Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Na hapana mtu ajitwaliae heshima hii, illa yeye aitwae na Mungu kama vile Harimi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hakuna anayejitwalia heshima hii mwenyewe; ni lazima aitwe na Mungu, kama vile Haruni alivyoitwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hakuna anayejitwalia heshima hii mwenyewe; ni lazima aitwe na Mwenyezi Mungu, kama vile Haruni alivyoitwa.

Tazama sura Nakili

Waebrania 5:4
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo