Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 5:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Ambae tuna maneno mengi ya kunena katika khabari zake; na ni shidda kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Tunayo mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, kwa sababu nyinyi si wepesi wa kuelewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Tunayo mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, kwa sababu nyinyi si wepesi wa kuelewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Tunayo mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, kwa sababu nyinyi si wepesi wa kuelewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa.

Tazama sura Nakili




Waebrania 5:11
12 Marejeleo ya Msalaba  

Maana moyo wa watu hawa umekuwa mzito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao Wakasikia kwa masikio yao, Wakafahama kwa mioyo yao, Wakaongoka, Nikawaponya.


Akawaambia, Imekuwaje hamjafahamu?


Nae akawaambia, Enyi wapumbavu, na wenye mioyo mizito katika kuyaamini yote waliyoyasema manabii!


Hatta ninayo mengi bado ya kuwaambieni, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.


Alinena haya illi amjaribu: kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda.


Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa, Na masikio yao ni wazito wa kusikia, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Na kusikia kwa masikio yao, Na kufahamu kwa mioyo yao, Na kuhadili nia zao Nikawaponya.


ametajwa na Mungu kuwa Kuhani mkuu kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.


Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita) mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.


vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa khabari za mambo hayo mumo humo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa upotevu wao wenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo