Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 5:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 ametajwa na Mungu kuwa Kuhani mkuu kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.

Tazama sura Nakili

Waebrania 5:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.

KWA hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki wito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu,

Ambae tuna maneno mengi ya kunena katika khabari zake; na ni shidda kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.

alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa Kuhani mkuu kwa jinsi ya Melkizedeki hatta milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo