Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 4:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa maana kama Yoshua angelikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mwenyezi Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine.

Tazama sura Nakili




Waebrania 4:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

ambayo baba zetu waliipokea; wakaiingiza pamoja na Yoshua katika milki ya mataifa wale, ambao Mungu aliwafukuza mbele ya baba zetu, mpaka siku za Daud:


KWA sehemu nyingi na kwa namna nyingi Mungu zamani alisema na babu zetu katika manabii,


Bassi, imesalia hali ya raha kwa watu wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo