Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 aweka tena siku fullani, akisema katika Daud baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo kama mtasikia sauti yake, msiifanye migumu mioyo yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa “Leo,” akasema baadaye kwa njia ya Daudi maneno yaliyokwisha tajwa: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiwe wakaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa “Leo,” akasema baadaye kwa njia ya Daudi maneno yaliyokwisha tajwa: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiwe wakaidi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Mungu aliweka siku nyingine ambayo inaitwa “Leo,” akasema baadaye kwa njia ya Daudi maneno yaliyokwisha tajwa: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiwe wakaidi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa hiyo Mungu ameweka siku nyingine, akaiita “Leo”, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa: “Leo, mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu”.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa hiyo Mwenyezi Mungu ameweka siku nyingine, akaiita Leo, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa: “Leo, kama mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu.”

Tazama sura Nakili




Waebrania 4:7
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Imekuwaje bassi Daud katika Roho kumwita Bwana, akinena,


Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Na Daud mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume,


Ndugu, mniwie radhi, niseme pasipo khofu mbele yenu khabari za baba yetu mkuu Daud, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hatta leo.


akitangulia kuyaona haya, alitaja khabari za kufufuka kwake Kristo, ya kama roho yake haikuachwa katika kuzimu, wala mwili wake hankuona uharibifu,


Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,


hapo inenwapo, Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kunikasirisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo