Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 4:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarche mwenyewe baada ya kazi yake, kama vile Mungu alivyostarche baada ya kazi zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 kwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile Mungu alivyopumzika kutoka kazi zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 kwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile Mwenyezi Mungu alivyopumzika kutoka kazi zake.

Tazama sura Nakili




Waebrania 4:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Yesu alipoipokea siki, akasema, Imekwisha: akainama kichwa, akatoa roho.


Yeye kwa kuwa ni mwanga wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivitengeneza vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya peke yake utakaso wa dhambi zetu, aliketi juu mkono wa kuume wa ukuu;


Lakini huyu, alipokwisha kutoa dhabihu nioja kwa dhambi, idumuyo hatta milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu;


Bassi, imesalia hali ya raha kwa watu wa Mungu.


Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Wa kheri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; na matendo yao yafuatana nao.


Wakapewa killa mmoja nguo ndefu, nyeupe, wakaambiwa wastarehe bado muda mchache, hatta itakapotimia hesabu ya wajoli wao na ndugu zao watakaouawa vile vile kama wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo