Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu.

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:9
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akawaambia, Enendeni, mkamweleze Yohana mliyoyaona na kuyasikia: vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanakhubiriwa khahari njema:


Lakini Eluma, yule mchawi (maana ndio tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha Imani.


Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika inchi ya Misri, na katika bahari ya Sham, na katika jangwa muda wa miaka arubaini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo