Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 3:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 msifanye migumu mioyo yenu, kama wakati wa kunikasirisha, siku ya kujaribiwa katika jangwa,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani,

Tazama sura Nakili

Waebrania 3:8
28 Marejeleo ya Msalaba  

Maana moyo wa watu hawa umekuwa mzito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao Wakasikia kwa masikio yao, Wakafahama kwa mioyo yao, Wakaongoka, Nikawaponya.

Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; bassi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi nao, akahujiana na watu killa siku katika darasa ya mtu mmoja, jina lake Tyranno.

Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika inchi ya Misri, na katika bahari ya Sham, na katika jangwa muda wa miaka arubaini.

Wala tusimjaribii Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo