Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Kwa hiyo, kama anenavyo Robo Mtakatifu, Leo, kama mtasikia sauti yake,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa hiyo, kama Roho wa Mungu asemavyo: “Leo, mkiisikia sauti yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa hiyo, kama Roho wa Mwenyezi Mungu asemavyo: “Leo, kama mkiisikia sauti yake,

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:7
27 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa akisema, wingu jeupe likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, niliyependezwa nae; msikieni yeye.


Akawaambia, Imekuwaje bassi Daud katika Roho kumwita Bwana, akinena,


Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Na kondoo wengine ninao, wasio wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta, na sauti yangu wataisikia; na kutakuwapo kundi moja na mchunga mmoja.


Kondoo zangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata;


Bawabu humfungulia huyu, na kondoo humsikia sauti yake, nae huwaita kondoo zake kwa majina yao, huwapeleka nje.


Amin, amin, nawaambieni, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hayi.


Ndugu imepasa andiko litimizwe, alilolinena Roho Mtakatifu zamani kwa kinywa cha Daud, katika khabari za Yuda, aliyekuwa kiongozi wao waliomkamata Yesu: kwa sababu alikuwa amehesabiwa pamoja na sisi,


Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,


Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.


Na Roho Mtakatifu yatushuhudia; kwa maana, baada ya kunena,


Lakini muonyane killa siku, maadam iitwapo leo; mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.


hapo inenwapo, Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kunikasirisha.


aweka tena siku fullani, akisema katika Daud baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo kama mtasikia sauti yake, msiifanye migumu mioyo yenu.


Roho Mtakatifu akionyesha neno hili, ya kwamba njia ya kupaingia patakatifu ilikuwa haijadhihirishwa bado, hapo khema ya kwanza ilipokuwa ingali ikisimama.


Maana unabii haukuletwa zamani kwa mapenzi ya mwana Adamu; hali wana Adamu, watakatifu wa Mungu, walinena, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo