Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Yesu, aliyekuwa mwaminifu kwake yeye aliyemfanya, kama Musa nae alivyokuwa katika nyumba yake yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Yeye alikuwa mwaminifu kwa Mungu aliyemteua kufanya kazi yake kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Yeye alikuwa mwaminifu kwa Mungu aliyemteua kufanya kazi yake kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Yeye alikuwa mwaminifu kwa Mungu aliyemteua kufanya kazi yake kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Alikuwa mwaminifu kwa yeye aliyemteua, kama Musa alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Alikuwa mwaminifu kwa yeye aliyemweka, kama vile Musa alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:2
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu, na kukaa katika pendo lake.


Mimi nimekutukuza duniani. Kazi ile uliyonipa niifanye nimeimaliza.


Yeye anenae kwa nafsi yake tu, hutafuta utukufu wake mwenyewe; bali yeye anaetafuta utukufu wake aliyempeleka, huyu ni wa kweli wala ndani yake hamna udhalimu.


Nae aliyenipeleka yu pamoja nami; Baba hakuniacha peke yangu: kwa sababu mimi nafanya siku zote yampendezayo.


katika yeye na ninyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.


Nami namshukuru Kristo Yesu Bwana wetu aliyenitia nguvu, kwa sababu aliniona kuwa mwaminifu, akiniweka katika khuduma yake;


Lakini nikikawia, upate kujua sana jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu iliyo kanisa la Mungu aliye hayi, nguzo na msingi wa kweli.


Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo