Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Bassi twaona ya kuwa bawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:19
10 Marejeleo ya Msalaba  

Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.


Amwaminiye hahukumiwi; asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa, kwa maana hakuliamini jina la Mwana wa pekee wa Mungu.


Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.


Na hao pia, wasipokaa katika kulokuamini kwao, watatiwa, kwa maana Mungu aweza kuwatia temi.


illi wahukumiwe wote wasioamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.


Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hayi.


Amwaminiye Mwana wa Mungu anao ushuhuda ndani yake. Asiyemwamini Mungu amemfanya kuwa mwongo, kwa kuwa hakuuamini ushuhuda ambao Mungu amemsbuhudia Mwana wake.


Tena napenda kuwakumbusha, ijapo mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, baada ya kuwaokoa watu katika inchi ya Misri, aliwaharibu wasioamini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo