Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 3:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Na ni nani aliochukizwa nao miaka arubaini? Si wale waliokosa, ambao mizoga yao ilianguka katika jangwa?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arubaini? Aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arubaini? Aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arubaini? Aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Lakini ni nani Mungu aliwakasirikia miaka arobaini? Je, si wale waliofanya dhambi ambao miili yao ilianguka jangwani?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Lakini ni nani aliowakasirikia miaka arobaini? Je, si wale waliofanya dhambi ambao miili yao ilianguka jangwani?

Tazama sura Nakili

Waebrania 3:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Tena napenda kuwakumbusha, ijapo mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, baada ya kuwaokoa watu katika inchi ya Misri, aliwaharibu wasioamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo