Waebrania 3:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Maana ni nani waliomkasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka katika Misri wakiongozwa na Musa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi ni nani waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi ni nani waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa? Tazama sura |