Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 hapo inenwapo, Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kunikasirisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kama ilivyonenwa: “Leo, mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kama ilivyonenwa: “Leo, kama mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mwaonaje? Haikumpasa adhabu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliyemkanyaga Mwana wa Mungu, na kuihesabu damu ya agano aliyotakaswa nayo kuwa ni kitu ovyo, na kumfanyia jeuri Roho ya neema?


Lakini mwenye haki ataishi kwa imani; nae akisitasita, roho yangu haina furaha nae.


aweka tena siku fullani, akisema katika Daud baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo kama mtasikia sauti yake, msiifanye migumu mioyo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo